Karibu!

Munguishi Bible College

Diocese of Mt Kilimanjaro,  Tanzania.

Tunawafundisha viongozi wa kanisa kwa uinjilisti na uchungaji  kupitia Tanzania. Kozi zetu zina mkazo wa kuelewa Biblia, Theolojia ya Kiinjili, namna ya kufanya huduma mbalimbali na Kuhubiri vizuri na kwa uaminifu wote.

Karibu kujifunza zaidi juu ya chuo chetu, kusikia mahubiri yetu, kusoma neno la siku, au kujiunga chuo.

2 Timotheo 2:2 unasema:

Na mambo yale uliyoyasikia kwangu mbele ya mashahidi wengi, hayo uwakabidhi watu waaminifu watakaofaa kuwafundisha na wengine


 

Ukaribisho wa Mkuu wa Chuo, Mch. Joseph Bea.